WANANCHI WA DODOMA WASHAURI SERIKALI NA MAMLAKA HUSIKA ZA HIFADHI KUWEKA ALAMA ZA VIVUTIO KATIKA MKOA WA DODOMA

NA DOTTO KWILASA, DODOMA. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka yake ya hifadhi TANAPA imeshauriwa  kuweka alama kwenye maeneo yote ya hifadhi za kihistoria katika Mkoa wa Dodoma ili kuunga mkono juhudi za RAIS Dkt SAMIA SULUH HASSAN za kutangaza vivutio vya utalii na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.  Hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi